Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, muda mchache uliopita limepanga droo ya hatua ya 16 bora.

Matokeo ya droo hiyo iliyofanyika mjini Nyon nchini Uswiz ni kama ifuatavyo.

Roma v Real Madrid

Paris St-Germain v Chelsea

Arsenal v Barcelona

Juventus v Bayern Munich

PSV Eindhoven v Atletico Madrid

Benfica v Zenit St Petersburg

Dynamo Kiev v Manchester City

EUROPA LEAGUE: Man Utd Wapangiwa Vibonde, Liverpool Na Spurs Wakwaa Visiki
Going Bongo Yabamba, Ni Filamu Pekee Ya Bongo Inayooneshwa kwenye Jumba la ‘Cinemax Centuries’