Raisi wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza aenda kupiga kura kwenye kijiji chake cha Ngozi na usafiri wa baiskeli. Chini ni picha ambayp inamuonyesha Nkurunzinza akiwa anaingia katika eneo hilo la kupiga kura.