Droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, usiku huu  imepangwa.
Mwadui FC imepangiwa Azam FC na mechi ya kwanza itachezwa mjini Shinyanga wakati Yanga wao watacheza na Coastal Union ambao wataanzia mjini Tanga.
Mechi zote zitachezwa Aprili 24
Mwadui Vs Azam FC
Coastal Union Vs Yanga

Young Africans, Azam FC Wataka Game Zao Zisogezwe Mbele
Kapombe Kuishuhudia Azam FC Kwa Miezi Miwili Hadi Mitatu