Aliyekuwa rais wa Marekani, Barrack Obama amemshutumu rais Donald Trump kwa mambo aliyoyaita kuwa ni ya kipuuzi yanayotokana utawla wake.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Illinois nchini humo ambapo alitaka kurejeshwa kwa heshima na kufuatwa kwa sheria za nchi hiyo.

”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari kwataifa letu,”,Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu hicho Illinois.

Aidha, Rais huyo wa zamani amekuwa akifanya mambo yake kwa siri tangu alipoondoka mamlakani 2017 na kutotaka kujihusisha na masuala ya serikali

Obama amesema kuwa hawasaidii kwa kukuza asilimia 90 ya upuuzi unaotoka katika Ikulu ya Whitehouse na baadaye kusema, musijali.

Obama amesema kuwa hawatusaidii kwa kukuza asilimia 90 ya upuuzi unaotoka katika Ikulu ya Whitehouse na baadaye kusema, musijali.

 

DC Jokate afanya maamuzi magumu
LIVE: Rais Magufuli akiongea na wananchi Kisesa - Simiyu muda huu. Tazama hapa