Klabu ya Sonderjyske ya nchini Denmark imempokea mshambuliaji wake mpya Emmanuel Okwi na kumkabidhi jezi yake namba 25 ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa anacheza Simba.

Okwi hajafanya majaribio katika klabu hiyo kama walivyodai Simba bali amesaini mkataba wa kudumu wa miaka minne kwa dau linalosemekana kuwa Dola 350,000.

Wakenya Hati-Hati Kushiriki Kageme CUP
Rais Kikwete Aumizwa na Vichapo Vya Taifa Stars