Picha inayoonesha muonekano mzuri wa Volkano ya Ol Doinyo Lengai imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika mashindano ya picha ya kimataifa ya Wiki Loves Earth 2020.

Hii ni picha pekee kutoka Afrika iliyofanikiwa kuingia 15 bora kati picha bora za maeneo mbalimbali ya kitalii duniani.

Volkano ya Ol Doinyo Lengai inapatikana Gregory Rift, Kusini mwa Ziwa Natron Kaskazini mwa Tanzania Mkoa wa Arusha, na maneno hayo yanamaanisha “Mlima wa Mungu.

Jafo aridhishwa ujenzi barabara za Mji wa Serikali
RC Kunenge awaonya madalali

Comments

comments