Msemaji wa Chama Cha mapinduzi CCM, Christopher ole Sendeka amesema licha ya chama kuzungumza mara kadhaa, wanatarajia kutoa tamko kwa lengo la kuwaeleza Watanzania tahadhari juu ya mchezo unaojaribiwa kuchezwa na Chadema.
Sendeka alisema viongozi wa dini na makundi mbalimbali yameshauri juu ya mipango yao, lakini hawataki kusikia.
 “Jambo hilo limezungumzwa mara nyingi sana, viongozi wa dini wameshasema, watu wenye mapenzi na nchi yao wakishauri waache huo mchezo wao ambao sidhani kama watafanikiwa, kwa hivyo tunatarajia kutoa tamko letu siku yoyote kuanzia kesho (leo),”alisema

Mrithi Wa Prof Ripumba Kujulikana Leo
Chadema Watangaza Safu ya Maandamano ya UKUTA.......Lowassa Amepangiwa Mbeya, Katibu Mkuu Kapangiwa Mwanza