Manchester City imekamilisha usajili wa nyota wa Valencia, Nicolas Otamendi kwa dau la paundi milioni 32, huku kocha mkuu wa klabu hiyo, Manuel Pellegrini akiamini kwamba amenunua beki bora zaidi kutoka Hispania.

Mlinzi huyo wa kimataifa wa Argentina alifuzu vipimo vya afya jana na kukubali kusaini mkataba wa miaka mitano.
Otamendi alikuwa akihusishwa kutua Manchester United na Real Madrid, lakini leo ametambulishwa rasmi na Manchester City.

Siri Yafichuka, Fàbregas Alikua Kibaraka Wa Mourinho
Otamendi Kujimilikisha Man City