Kiungo wa klabu bingwa nchini Italia, Juventus, Paul Pogba aliamua kwenda na mama yake mzazi aitwaye Yeo kwenye sherehe za kumtangaza mwanasoka bora wa dunia (FIFA Ballon d’Or) mwaka 2015 Jumatatu usiku.

Wakati mastaa wengi waliongozana na wake zao au marafiki zao wa kike wenye majina makubwa, Pogba akatinga na mama yake.

Pobga anakuwa machezaji kijana zaidi kujumuishwa kwenye 11 bora ya FIFA tangu Messi alipofanya hivyo mwaka 2009.

L-R: Thiago Silva, Luka Modric, Marcelo, Pogba, Sergio Ramos, Neymar, Dani Alves, Lionel Messi, Andres Iniesta and Cristiano Ronaldo are confirmed in the FIFPro World XI for 2015 Kutoka kushoto kwenda kulia: Thiago Silva, Luka Modric, Marcelo, Pogba, Sergio Ramos, Neymar, Dani Alves, Lionel Messi, Andres Iniesta na Cristiano Ronaldo ambao wanaunda ile 11 bora ya FIFA  (FIFPro World XI  2015)

Watovu Wa Nidhamu Ligi Daraja La Kwanza Waadhibiwa
Ratiba Mzunguuko Wa Tatu Kombe La FA Yatolewa