Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada
ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Apr
ili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Muigai
Kenyatta wakati wa nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Kenya zikipigwa mara
baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa na Jeshi la Ulinzi la
Kenya (KDF) mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe
04 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni Mara baada ya Kuwasili katika Ikulu ya
Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta
mara baada ya kuwasili Nairobi nchini Kenya
leo 04 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Muigai
Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
TAKUKURU: Asukile ameingia mitini
Asukile akaliwa kooni Young Africans