Muigizaji maarufu wa kike duniani, Angelina Jolie ameongeza ‘mikwaruzo’ mgongoni kwake wakati akiendelea kuandaaa filamu yake mpya ya ‘First They Killed My Father’, nchini Cambodia.

Mshindi huyo wa Oscar amechora tattoo nyingine tatu mgogoni kwake zikiwa na maana tofauti tofauti. Tattoo mbili zikiwa katika alama za Ki-Thai, za imani ya ‘Buthism’ huku moja ikiwa na picha ya Box.

Jolie

Haijafahamika maana halisi ya michoro hiyo mipya, lakini Angelina mi moja kati ya waigizaji wanaoguswa sana na maisha ya watu wenye matatizo, huenda ikiwa na maana kubwa pia kwa alichokiona huko.

Kabla ya kuongeza michoro mipya

Kabla ya kuongeza michoro mipya

Awali

Imani: Profesa aliyesema Waislam na Wakristo wanaabudu Mungu Mmoja atimuliwa Kazi
Wajumbe Hawa wa ZEC wapinga marudio ya uchaguzi Zanzibar