Mkali wa RnB, Chris Brown amehama makazi na kuhamia kwenye jumba jipya la kifahari.

Mwimbaji huyo ambaye miaka iliyopita aliingia katika migogoro na majirani zake waliokuwa wanamtuhumu kwa kuendesha gari kwa mwendo kasi eneo la makazi pamoja na kuchora michoro ya kutisha iliyowanyima raha watoto wao, amepost picha ya makazi mapya aliyohamia.

“God is Good.New house,new start,”amesema Chris Brown.

Breezy pia amepost picha nyingine inayomuonesha akiongeza tattoo kwenye mwili wake japo hakuzitolea maelezo mengi.
Chrs tat

Iggy Azalea adai Media Zinamkosanisha na Britney Spears
Uwanja Wa Millennium Kuwa Mwenyeji Fainali Mabingwa Ulaya