Kukubalika kwa Diamond Platinumz kunaendelea kuivuka mipaka ya Tanzania ambapo ‘die hard fans’ wa nchi ya Kenya wamemuonesha picha halisi ya jinsi walivyokuwa wakitamani kumuona ‘Live’ mwimbaji huyo.

d 2

Mashabiki hususan vijana wamempa mapokezi ya kishindo Diamond kilichoiongeza furaha yake huku akisubiri kuwapa show ya nguvu kama kawaida yake.

d 4D 33
Baada ya mapokezi hayo, ilifuata show kubwa

Aishi Manula Wa Azam FC Alia Na Waamuzi Wa Kibongo
Wenje, Mbunge wa Viti Maalum, Mwandishi wanusurika kifo