Mrembo Kim Kardashian amemleta duniani mtoto wake wa pili aliyempata na rapa Kanye West.

Wawili hao wamempata mtoto wa kiume Jumamosi asubuhi huku mrembo huyo akipost picha ya mkono wa kichanga wake.

Mtoto Wa Kim K

Kim Kardashian ameandika ujumbe kwenye tovuti yake kuhusu kumkaribisha mwanae huyo.

“KANYE AND I WELCOME OUR BABY BOY!.. Mother and son are doing well.”

Hata hivyo jina la mtoto huyo bado halijafahamika. Mtoto wa kwanza wa wawili hao ni msichana ‘North West’.

Gazeti Lililochapisha Habari Za ‘Kifo’ Cha Father Christmas Latoa Ufafanuzi
Yemi Alade Adai Alifanya Shows 300 bure