Picha mbalimbali za mazoezi ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara wakati wa mazoezi kujiandaa na mechi mbalimbali za kuwania Kombe la Chalenji kwenye Uwanja wa mazoezi wa Machakos, Kenya. Mazoezi hayo yalifanyika leo Jumatatu Desemba 4, 2017 asubuhi.

Mchezo ujao wa michuano hiyo, Kilimanjaro Stars inatarajiwa kucheza dhidi ya Zanzibar Heroes.

(Picha na Cliford Ndimbo wa TFF).

Atupele Green aachwa Singida Utd
Picha: mashindano ya nane ya mabunge wa jumuia ya Afrika mashariki yaendelea jijini Dar es salaam