Mke wa Kanye West, Kim Kardashian amekava jarida la ‘Vogue Spain’ toleo la Agosti huku akiiweka ngozi yake halisi wazi bila kuifunika na ‘make up’ kama ilivyozoeleka kwa mastaa wengi wanapokaa kwenye kava ya majarida hayo.

Kim ambaye ni mjamzito, alipost kwenye Instagram Julai 17, sehemu ya picha za jarida hilo na kuandika, “Vogue Spain Cover’! We did this whole shoot without make up! Can’t wait for you to see it!”

Mama West anaonekana mwenye mvuto kwenye jarida hilo na kuwafikishia ujumbe wapinzani wake kuwa kuwaka kwake hakutegemei make up she, ‘she woke up flawless’.

Rick Ross Afunguliwa Mashitaka Na Mama Mtoto Wake
Ne-Yo Amtafuta Diamond Afrika Kusini, Wapanga Collabo