Shirikisho la Soka Ufaransa limetoa adhabu kufuatia vurugu zilizojitokeza katika mchezo wa derby ya PSG na Marseille Jumapili:

◉ Kurzawa: Amefungiwa Michezo sita
◉ Amavi: Michezo mitatu
◉ Neymar: Michezo miwili
◉ Paredes: Michezo miwili
◉ Benedetto: Mchezo mmoja
◉ Di Maria: Anachunguzwa kwa madai ya kumtemea mate Alvaro Gonzalez

Tanzania yapata shavu baraza kuu UN
KMC FC yaifuata Mwadui FC

Comments

comments