Picha za matukio yaliyotokea Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika Mikoa ya Manyara, Singida na Dodoma kuvunja kingo za Mto wa Wami na hivyo maji kukosa elekeo na kusababisha mafuriko.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amesema tayari wamefanya tathmini ya madhara yaliyosababishwa na maji hayo pamoja na kutoa msaada kwa wananchi waliokumbwa na maafa hayo.

Rais mstaafu jela kwa kumiliki mali yenye mashaka
Polisi waomba muda kumuhoji Bubu aliyemtupa mtoto Baharini