Diamond Platinumz amepokea ugeni wa ‘mkwewe’, mama mzazi wa Zari The Boss Lady aliyetembelea familia hiyo kumsalimia mjukuu wake.

Mama Zari aliyetokea nchini Uganda na ameonekana mwenye furaha ndani ya jumba la kifahari la Diamond akiwa amembeba mjukuu wake.

Mama Zari akiwa na mjukuu wake 'Tiffah'

Mama Zari akiwa na mjukuu wake ‘Tiffah’

“Good morning, tag someone your blessed to have in your life. Here is my mom and my daughter,” aliandika Zari kwenye post yake ya Instagram yenye picha ya bibi na mjukuu.

 

Lowassa ‘Avuta Pumzi Ya Mwisho’ Kuiondoa CCM
Kanye West Atangaza Kugombea Urais Wa Marekani