Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza waombelezaji katika maziko ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha.

Katika maziko hayo ya hii leo Februari 17, 2024 pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi pia ameshiriki.

Aidha, Viongozi mbalimbali wa Serikali, Wastaafu, Dini, Kimila, Vyama vya siasa, Vyombo vya ulinzi na usalama wameshiriki maziko hayo na zifuatazo ni baadhi ya pucha wakati wa tukio hilo.

 

 

 

Makundi Ligi ya Mabingwa Mikoa hadharani
Mvua zakwamisha uwanja KMC FC