Hii ndiyo picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Samia aliapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Machi 19, 2021 kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, aliyefariki dunia akiwa madarakani, Machi 17, 2021.

Kocha Gomes awahusia wachezaji Simba SC
Rais Xi Jinping wa China amlilia Hayati Dkt Magufuli