Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, ambapo Kitaifa zimefanyika Mkoani Morogoro Mei Mosi, 2023.

Wafanyakazi kutoka Wizara, Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi, wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kutoa ujumbe kuhusiana na masuala mbalimbali ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.

Kocha Geita Gold atangaza hatari Ligi Kuu
Jeshi la Polisi lamnasa aliyechoma Msikiti