Kocha Msaidizi wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Ami Ninje akijipanga vifaa kwa ajili ya mazoezi yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Mnazi mmoja leo Novemba 6, 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Wachezaji wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, kutoka kushoto Mohammed Issa, Hamisi Abdallah, Dickson Job na Yohana Mkomola wakifanya mazoezi ya kupasha misuli kabla ya kuanza kwa programu nyingine za kocha kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Mnazi mmoja leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Nahodha Msaidizi wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Himid Mao akimiliki mpira mbele ya Kipa, Ramadhani Kabwili kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Mnazi mmoja leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Kiungo wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Raphael Daudi (katikati) akipiga hesabu za kuwatoka Boniface Maganga (kulia) na Elias Maguli kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Mnazi mmoja leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Kocha Mkuu wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Salum Mayanga (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na wasaidizi wake kutoka kushoto, Ami Ninje, Patrick Mwangata na Fulgence Novatus wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Mnazi mmoja  leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).

Mke wa Mugabe ataka makamu wa Rais afutwe kazi
Said Ndemla kuondoka kesho