Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG, Dkt Barnabas Mtokambali ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa kituo cha watoto na kuweka wakfu kanisa la TAG CANA lililopo jijini Dodoma.

Askofu Dkt Barnabas Mtokambali (kushoto) akizungumza baada kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa kituo cha watoto pamoja na kuweka wakfu kanisa la TAG CANA jana. Kulia ni Mchungaji Kiongozi wa kanisa hilo, Dkt Joel Hamuli pamoja na Mkewe Mchungaji Faraja Hamuli.
Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG, Dkt Barnabas Mtokambali (wa pili kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi kanisa la TAG CANA Jijini Dodoma, jana.
Waumini wa kanisa la TAG CAN wakiomba kabla ya hafla ya kuwekwa wakfu kwa kanisa hilo.

Luc Eymael atimuliwa Young Africans
Azam FC wafunguka mipango ya usajili KIMATAIFA