Baada ya jaribio la kuipindua Serikali ya Uturuki inayoongozwa na Rais Recep Tayyip ErdoÄźan kushindikana usiku wa kuamkia jana, picha zinazoonesha baadhi ya matukio ya kikatili waliyofanyiwa wanajeshi waliohusika kufanya jaribio hilo zimewekwa wazi.

Moja kati ya picha iliyozua gumzo inaonesha raia wakimkata kichwa mwanajeshi mmoja aliyehusika kwenye jaribio hilo katika daraja la Bosphorus, aliyejisalimisha jijini Istanbul.

Uturuki 2

Zaidi ya watu 265 wameripotiwa kufa katika usiku huo wa jaribio la mapinduzi na wanajeshi 2,839 wanaotuhumiwa kwa uhaini huo wanashikiliwa katika magereza mbalimbali. Mbali na wanajeshi hao, majaji 2,745 wamekamatwa.

Hali ya utulivu imeanza kurejea katika jiji la Istanbul baada ya wanajeshi watiifu kwa rais Erdogan kuthibiti kona zote.

Uturuki 3Uturuki 4Uturuki 5

Fid Q ashinda tuzo ya ZIFF
Mrema: Mbona haya hamumuulizi Rais mnanionea mimi?