Picha za Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea kambi ya muda ya waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika kwa nyumba na miundombinu kutokana na maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima Hanang’ huko Katesh, Mkoani Manyara.

Tahadhari yatolewa matukio mwisho wa mwaka
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Desemba 6, 2023