Waziri mkuu Kassimu Majaliwa ametembea mradi wa maji wa Kisarawe mjini akiwa katika ziara ya siku tatu Mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la Maji wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja kuhusu Mradi wa Maji wa Kisarawe mjini, Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo.