Kikosi cha Young Africans leo asubuhi kimeanza safari ya kuelekea mkoani Kigoma, tayari kwa mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho utakaopigwa Jumapili (Julai 25), Uwanja wa Lake Tanganyika.

Young Africans itakutana na Simba SC katika mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu kubwa na Mashabiki wa soka nchini kote.

Bumbuli: Ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Kumekucha Msimbazi, Manara amuanika Barbara