December 9,2017 katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Rais John Pombe Magufuli alitoa msamaha kwa baadhi ya wafungwa  waachiwe huru akiwemo Babu Seya na mwanae Papii Kocha kitu ambacho hakikutegemewa na wengi.

Papii Kocha ameamua kuchora tattoo ya jina la Rais JPM katika mkono wake wa kulia na wengi kutafsiri kitu hicho kama shukrani zake kwa Rais.

Papi  Kocha na baba yake Babu Seya wametumikia kifungo cha maisha jela kwa miaka 13.

TCRA yawalima faini Star TV, Azam TV kuhusu uchaguzi wa madiwani
Rais Museveni awafananisha viongozi wa dini na ‘Kuhani Msaliti’