IMGS9132Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe  Mary wakiteremka kuelekea eneo la kuchinjia ng’ombe katika kiwanda cha nyama Ngulu Hills Ranch kilichopo Morogoro wakati walipokitembelea kiwanda hicho Agosti 3, 2016.

IMGS9139
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakikagua eneo la kuchinjia ng’ombe katika kiwanda cha nyama cha Nguru Hills Ranch cha Morogoro  Agosti 3, 2016.  Kushoto ni Mkurugenzi na Mshauri wa Kiwanda hicho, Danstan Mrutu.
IMGS9165
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizingumza na Mkurugenzi na mshauri wa kiwanda cha nyama cha Ngulu Hills Ranch cha Morogoro , Dunstan Mrutu (kulia kwa Waziri mkuu) )  wakati walipokitembelea kiwanda hicho Agosti 3, 2016.
IMGS9216
Watoto na wananchi wa kijiji cha Majichumvi  wilayani Mvomero wakionyesha mabango wakati WaziriMkuu,Kassim Majaliwa aliposimama kijijini kwao kuwasikiliza Agosti 3, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMGS9250 IMGS9256
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Eliud Sanga wakati alipokagua ujenzi wa stendi  mpya ya Msamvu Morogoro Agosti 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMGS9270
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua jengo la Stendi mpya ya mabasi la Msamvu mjini Morogoro Agosti 3, 2016.
IMGS9339
Awamu ya kwanza ya jengo la stendi mpya ya mabasi ya Msamvu mjini Morogoro iliyokamilika kwa asilimia 90. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliitembelea stendi hiyo na kuzungumza na wadau Agosti 3, 2016.

Msigwa ayageuka masharti ya Polisi, ‘hakuna wa kunipangia cha kusema’
Kiwanda Cha Mo Enterprises Chatozwa Faini Ya Milioni Kumi