Chelsea ilikubali kutoa Pauni 23.5 milioni kuilipa Rennes kwa ajili ya mshambuliajl huyo wa kimataifa wa Ufaransa, ambaye ameshapimwa afya.

The Blues haina idadi ndogo ya viungo wa kati, lakini Pochettino anataka mchezaji mwenye uzoefu wa kutosha atakayempa uhuru wa kupanga timu, wakati nyota wa Brighton, Molses Calcedo akiwa chaguo la kwanza.

Baada ya ushindi wa Chelsea wa mabao 2-0 dhidi ya Fulham juzi Jumapili (Julai 30) na kutwaa taji la ‘Premier League Summer Series, Pochettino alisema: “Sina taarifa mlizonazo.

“Ninachojua huyu anayekuja kutoka Ufaransa ni kwa ajili ya kutolewa kwa mkopo, lakini hilo si tayari mnalo kwa kompyuta zenu!”

Lukaku avuruga mpango wa usajili
Serikali yasisitiza huduma bora sekta ya Afya