Straika nyota wa Galatasaray, Lukas Podolski ametupia picha mtandaoni akiwa na bondia ambaye hayawahi kupoteza pambano katika ngumi za kulipwa Floyd Mayweather.

Podolski anaonekana akiwa na Mayweather wakiwa wamebadilishana kofia zenye chata zao, kila mmoja kavaa ya mwenzake ikiwa ni sehemu ya kuonyesha kuungana mkono.

Mayweather yuko jijini Istambul kumtembelea rafiki yake Umit Akbulut anayemiliki kampuni ya Brothers 4 Life ambaye inaelezwa wana mikakati ya kibiashara itakayotangazwa hivi karibuni.

Wagombea Urais Uganda watumia jina la Magufuli kujinadi
TP Mazembe Kuifuata FC Barcelona Nchini Japan