Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan hii leo Desemba 14, 2022 amemteuwa Dkt. Hashil Twaib Abdallah, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara.

Kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa kwa vyombo vya Habari na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, imesema pia Rais Samia amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kocha Morocco afichua Afrika inavyochukiwa Ulaya
Wahimizwa kuchangamkia fursa Chuo cha Madini