Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka usiku wa Oktoba, 23 2023.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali wakati wa hafla hiyo.

Rais Dkt. Samia akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka.
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema akizungumza kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hasan Jijini Lusaka.
Rais Dkt. Samia Suluhu akigonganisha glasi na mwenyeji wake Rais Hakainde Hichilema wakati wa
Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Jijini Lusaka.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na viongozi wengine wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka.

Gary Neville: Presha imeanza kumdhuru Raya
Majiha, Bongani kuandika historia mpya Dar