Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine katika Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na kumteua Dkt. Amina Suleiman Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo.

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Msengwa alikuwa ni Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Takwimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Uteuzi huu umeanza rasmi Septemba 19, 2019.

img-20190925-wa0044-jpg.1215647

Toni Conceicao aahidi ubingwa 2021
Tazama habari picha Timu ya Simba ilivyowasili Bukoba.