Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua tena Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge wanasubiriwa kuthibitisha uteuzi wa jina hilo la Waziri Mkuu mteule ambalo Rais ameliwasilisha Bungeni.

Katibu Mkuu wa Shirika la Ukombozi wa Palestina azikwa
Milionea wa Zimbabwe kuzikwa na gunia la fedha