Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo Novemba 13 amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango.

Mawaziri hawa wawili walikuwa wakishikilia nyadhifa hizi katika awamu iliyopita ya uongozi wa rais Magufuli.

Umoja wa Ulaya wataka wabunge walioachishwa kazi Hong Kong kurejeshwa katika nafasi zao
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Novemba 13, 2020