Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Hammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

Aidha iteuzi huo unaanza leo Februari 18, 2022

Mbowe na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu
Uandikishwaji wanafunzi wa awali wafikia 92%