Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 03, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mwinyi Talib Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.


Habari kubwa kwenye magazeti leo, Novemba 7, 2020
Mechi ya Simba na Yanga kuchezeshwa na waamuzi 6