Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 ameagana na Balozi wa China nchini Wang Ke Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma ambaye amemaliza muda wake.

Rais Samia amemshukuru Balozi huyo kwa jitihada zake za kuendeleza uhusiano wa Tanzania na China ambao umeweza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali iliyotekelezwa kwa ufadhili wa China.

IGP Sirro apangua Makamanda, ACP Magiligimba ahamishiwa Ilala
Watoto Nigeria watekwa nyara