Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 21, 2021 amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya watu wa China Xi Jinping.

Ambapo katika mazungumzo hayo Tanzania na China zimekubaliana kukuza ushirikiano katika nyanja ya Uchumi, Utamaduni na Ushirikiano wa kimataifa.

Aidha China imeahidi kufungua zaidi soko lake kwa bidhaa za Tanzania pamoja na kuongeza uwekezaji hususa katika sekta ya viwanda.

Vijana watambue hizi fursa
Mfanyakazi wa ndani amuua mtoto wa bosi wake