Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amepoea mapendekezo ya mpango kazi wa kutafuta rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa mkakati wa Taifa wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa corona na uratibu wa utoaji chanjo wa ugonjwa huo.

Hizi ndizo kesi 10 za unyanyasaji Tanzania, ubakaji watikisa
Jafo na kishindo kingine kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi