Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) leo Jumatatu 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Ambapo katika mkutano huo wamejadili mambo mbalimbali yanayaohusu sekta binafsi nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Majaji wapatiwa mafunzo
Breaking News: IGP Sirro apangua Makamanda, Muliro RPC mpya Dar