Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 26, 2021 amemtembelea Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nyumbani kwake Osterbay Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali