Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira watatu kutoka kushoto, wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, pamoja na viongozi wengine kutoka Serikali ya Burundi pamoja na Ubalozini kwao hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.

Nyalandu awajibu waliojichanganya, awakaanga CHADEMA
Gomes: Kesho mtacheka!