Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku sba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia, Dkt kenneth David Kaunda, kilichotokea Juni 17,2021 mjini Lusaka zambia. katika kipindi hicho cha maombolezo bedera zitapepea nusu mlingoti.

Zrane: Kagere bado anahitajika
Kocha Nabi amkingia kifua Metacha