Habari Maisha Matukio Teknolojia Uchumi Rais Samia azindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi 5 months ago Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Viongozi, Watumishi na Wananchi wa maeneo Jirani mara baada ya kuzindua kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, Agosti7) 7, 2024. #RaisSamiaZiaraMoro Matapeli wa viwanja na mbinu ya kushinda kesi Mashabiki nane wa soka kutembelea Dubai