Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa.

Rais Samia alishiriki maongezi hayo mara baada ya kuwasili katika Makazi yake ya Uaskofuni Mkoani Tabora Oktoba 18, 2023 kwa ajili ya kumpongeza.

Uchumi jumuishi kuondoa pengo matumizi Kidigitali
Ahukumiwa kunyongwa kwa mauaji