Rapa mwenye jina kubwa zaidi Afrika Kusini, AKA ameripotiwa kumpiga shabiki aliyepanda jukwaani wakati akifanya show the Durban, Julai 4, 2015.

Kutokana na kitendo hicho, mashabiki waliohudhuria tamasha hilo walimshangaa rapa huyo na kugoma kumpa ushirikiano wakati wote wa show huku wengine wakieleza jinsi walivyosikitishwa na kitendo hicho kupitia twitter.

“AKA beat up a fan in front of people at the Durban July ‘Boom Town’ gig? Does he think he’s Kanye or? This is unacceptable.” Alitweet shabiki mmoja.

Shabiki mwingine alitweet, “A fan made his way on stage while AKA was performing Jealousy,AKA cut the music and literately kicked this guy and pushed him off the stage.”

Hata hivyo, uongozi wa rapper huyo ulipotafutwa na The Juice, ulisema AKA hana chochote cha kuzungumza kuhusu tukio hilo, “No comment on the matter.”

Kikwete: Msimchague Huyu, Mnyanyapaeni
Diamond Anatarajia Kubeba Tuzo Sita Kubwa Za Kimataifa