Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. John Pombe Magufuli leo Agosti 17, 2020 anakabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi katika Mkutano wa 40 wa SADC .

Katika mkutano huo unaofanyika Jijini Dodoma kwa njia ya video kwa kuongozwa na Rais wa Msumbiji.

Ambapo Kaulimbiu ya mkutano huo ni ’Miaka 40 ya kuimarisha amani na usalama, kukuza maendeleo na kuhimili changamoto zinazoikabili dunia’.

Rais Magufuli amekuwa Mwenyekiti SADC kwa mwaka mmoja. Alikabidhiwa jukumu hilo Agosti mwaka jana kutoka kwa Rais wa Namibia Dk Hage Geingob.

VPL 2020/21: Simba kuanzia ugenini
Jaffar Mohamed atua Namungo FC